peperonity.net
Welcome, guest. You are not logged in.
Log in or join for free!
 
Stay logged in
Forgot login details?

Login
Stay logged in

For free!
Get started!

Mobile Blog


juma - Man Ebony
kidogo2009.peperonity.net

Kwa wapenzi wa riwaya jiliwaze hapa.

NI FAHARI KUMFUKUZA SIMBA AKAKIMBIA,LAKINI NI HATARI KUFUATA NYAYO ZAKE.

Jenga mazoea ya kusoma hadithi ili uongeze maarifa.ifuatayo ni sehemu ya kwanza ya hadithi tamu iitwayo mzee wa shamba,,,endelea.ndani ya chumba cha kuhifadhia maiti.wahudumu wa chumba hicho walikuwa wamesimamisha shughuli zao zote kwa muda kwa ajili ya kuhudumia maiti mbili ambazo mauaji yake yalimshangaza hata daktari aliyezifanyia uchunguzi.inspekta wabongo nae tayari alikuwa ndani ya chumba hicho,alikuwa akifahamika vizuri kutokana na kufika pale mara kwa mara.bila kusema chochote mmoja wa wahudumu akaifunua moja ya maiti iliyokuwa imefunikwa shuka na kulazwa katika moja ya vya magurudumu,ambavyo ni maalumu kwa kubebea wagonjwa mahututi ama watu waliokufa.pamoja na uzoefu wake wa miaka mingi kazini,na kukutana na mengi ya kutisha zikiwemo maiti za ajabu pamoja na watu waliouawa katika mitindo mbalimbali.staili iliyotumika katika mauaji haya ilimsisimua sana.ilimsisimua kiasi cha kumpa mori wa kufanya kazi kwa nguvu mpya kama kijana anayeanza kazi leo.hakuwahi kufikiria kuwa watu wawili,...itaendelea..
Haifai
images - Animals/Nature
Hawa nao wana maajabu yao, hii inadhihirisha kuwa. hata wanyama nao wanapendana katika hali ya kubusiaaa kama hivi....
picture by kidogo2009
index - Animals/Nature
HAYA NDIYO MAJAALIWA YA NCHI YETU TULIYOPEWA NA MWENYEZI MUNGU......hata hivyo wapo wanaouchechezea rafu utajiri wetu huu, haki iko wapi?
picture by kidogo2009
SAA YA UKOMBOZI NI SASA Kila siku, usiku unapita na masaa yanazidi kusonga mbele ili kuzalisha siku mpya. Dunia nayo ianaendelea kuzunguuka m... Read more
kuelekea uchaguzi mkuu,ubaguzi wa rangi,udini na ukabila vipigwe vita Na JUMA KIDOGO Kwanza kabla ya yote nitakuw Read more
Mlango wa Tatu Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Mmoja wa maofsa mcheshi wa polisi wa Kiingereza alipokuwa anaondoka Zanzibar nilikwenda kumuaga na... Read more
YA SERGIE TOROP NA UJIO WA YESU WA KWELI Na Juma Kidogo Ni wakati mwingine tena, siku nyingine ambayo tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutuwek... Read more
Tamaa ya uongozi na idadi kubwa ya ahadi zisizotekelezeka Na Juma Kidogo Ni siku na wakati mwingine tena tunakutana ndugu zangu wapendwa katika ... Read more
w
Pamoja na muonekano wake kuwa ni wa mtu mwenye hali ngumu kimaisha, Bosco Majaliwa au Mzee wa shamba kama alivyojipachika jina, hakuwa mbumbumbu m... Read more
picture by kidogo2009
volcano
Hali hii inadhihirisha uwepo wa nguvu za asili za Dunia,nguvu za volkano zinapenya kati kati ya miamba na kutokeza katika uso wa dunia.Nguvu hii in... Read more
picture by kidogo2009
volcano
Hali hii inadhihirisha uwepo wa nguvu za asili za Dunia,nguvu za volkano zinapenya kati kati ya miamba na kutokeza katika uso wa dunia.Nguvu hii in... Read more
picture by kidogo2009


This page:
Help/FAQ | Terms | Imprint
Home People Pictures Videos Sites Blogs Chat
Top
.