peperonity.net
Welcome, guest. You are not logged in.
Log in or join for free!
 
Stay logged in
Forgot login details?

Login
Stay logged in

For free!
Get started!

Mobile Blog


volcano
kidogo2009.peperonity.net

HII NDIO DUNIA

19.04.2010 14:26 EDT
Hali hii inadhihirisha uwepo wa nguvu za asili za Dunia,nguvu za volkano zinapenya kati kati ya miamba na kutokeza katika uso wa dunia.Nguvu hii inasababisha mabonge na milima ya barafu inayeyuka na maji yake kutiririka kiasi cha kusababisha mafuriko.Nguvu hii ya asili ya dunia hauwa haizuiliki pindi itokeapo.Matokeo yake huwa mabaya kwani husababisha vifo na maelfu ya watu kupoteza maisha yao.Maumbile haya yanadhihilisha ubingwa usio kifani katika uumbaji wa mwenyezi mungu.Tunasoma mambo haya katika vitabu mbali mbali vya sayansi.Lakini haitoshi kusema kuwa wanasayansi wamemaliza kila kitu katika ugunduzi wao.Hapana,bado sana.Katika uumbaji wa mungu wanasayansi bado hawajafikia hata moja ya nane ya yale yalioumbwa na mungu ulimwenguni.


This page:
Help/FAQ | Terms | Imprint
Home People Pictures Videos Sites Blogs Chat
Top
.