peperonity.net
Welcome, guest. You are not logged in.
Log in or join for free!
 
Stay logged in
Forgot login details?

Login
Stay logged in

For free!
Get started!

Mobile Blog


p. a. s
paschal28.peperonity.net

MAPENZI

03.10.2014 00:29 EDT
Siku zote napenda sana kuwa na utulivu katika mapenzi, napenda sana kuwa na mwanamke ambaye anaheshima, mapenzi ya dhati
awe pia na mipango ya kimaendeleo (development plan), asiwe mwembamba sana, umri wake uwe kati ya 18 - 22, dini awe mkri
sto (m-sabato) ila hata ambaye si msabato ila akiwa tayari kubadili dini na akawa msabato anaweza kukubaliwa, sipendi us
umbufu na kero maishani mwangu naamini katika kutimiza wajibu wangu mimi kama mimi na kumpa mtu ye yote stahili yake. na
amini endapo nitapata mwanamke mwema na anayejua nini maana ya kuwa mke na anayejitambua kwa asilimia nyingi maisha ya
ngu yatakuwa mazuri na yenye mafanikio na lengo langu la kuwasaidia wengine wenye u-hitaji litakuwa limetimia.


This page:
Help/FAQ | Terms | Imprint
Home People Pictures Videos Sites Blogs Chat
Top
.